Naibu SpikA, Dkt. Tulia Ackson akionyeshwa zawadi ya Jarida la Watoto alilopewa na Ujumbe wa Wabunge kutoka Korea ya Kusini walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam, kulia ni Kiongozi wa Ujumbe huo, Won Yoochul.
Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Ujumbe Wabunge kutoka Korea ya Kusini walipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam wakiongozwa na kiongozi wao Won Yoochul.
Naibu SpikA, Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi ya Taa ya Solar alilopewa na Ujumbe wa Wabunge kutoka Korea ya Kusini walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam, kulia ni Kiongozi wa Ujumbe huo, Won Yoochul.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...