Home
Unlabelled
NYANDA WA KUTUMAINIWA KATIKA CHAMA LA NANIHII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nyanda anaonaje Mpira wakati kafumba macho?
ReplyDeleteAnkal tunakuomba uje kujiunga na timu yetu ya Msimbazi pia tunataka kuifufua tena timu yetu ya kongo United aka Shetani wekundu kariakoo,
ReplyDeletenamna gani vipi ?uwemo katika timu.
wapwazo
FFU-Ughaibuni
ReplyDeleteMi nashangaa sana watu wanatafuta makipa wenye viwango kwa ajili ya ligi kuu ya Vodacom wakati Ankal yupo ... anawashinda hata akina Deo Munishi ana Agban. Hizi kamati za usajili za hizi timu mbili zinafanya sivyo kutomuona Ankal
"Fumo Felician anaachia shuti kali kabisa, ankal ananyaka kama nyani vile..... namna gani hapa"- Charles Hillary
ReplyDeleteHuyu Nyanda hatari Ankal, unanikumbusha Moses Mkandawile wa Simba Enzi hizooo za Mwalimu!!!! Hah Hah Hah.
ReplyDeleteANKAL UNA MBWEMBWE.UMEDAKA NJE YA ENEO LAKOOOOOOO
ReplyDeleteAnkole skuelewi kabisa mbona lango liko juu kule (kulia) hapo ulipodakia ni wapi...ufafanouz plz
ReplyDelete