Familia
ya Marehemu Mossey Abdulsalim Sekibo, Wa Motel Villa, Kijitonyama,
Inasikitika kutangaza kifo cha Binti yao Hanifa Sekibo, Kilichotokea
jana katika Hospitali ya Temeke.
Ratiba ya Leo.
Saa 4:00-Mwili kuwasili nyumbani kwa Mama wa Marehemu, Bi Gile, Mbezi Makabe.
Saa 5:00-Kusomewa Dua
Saa 6:00-Chakula
Saa 7:00- Marehemu ataswaliwa Msikiti wa Mangara Baada ya Swalat Adhuhuri.
Saa 8:00- Msafara kuelekea Bagamoyo.
Saa 10:00-Maziko Makaburi ya Familia ya Sekibo, Kiromo Shule, Bagamoyo.
Saa 11:00- Msafara kurejea kwa Tanga Ndugu.
Marehemu ameacha mtoto mmoja, Grace-Linda Pascal Mayalla na mjukuu mmoja Sarrah-Patricia.
Innalilah Wainnailaih Rajiun.
Kufika msibani kutokea Mbezi mwisho Stendi Mpya. Fuata njia ya Makabe Msakuzi mpaka njiapanda ya Makabe. Ulizia Msikitini kwa Mangara.
Kwa kuanzia Bagamoyo Rd. Njia ya Goba hadi njia panda ya Makabe .
Kwa Maelezo zaidi
Contact
1.Kaka wa Marehemu-Haji Sekibo -0713 866 480
2. Dada wa Marehemu -Masha Sekibo 0719226422.
Contact
1.Kaka wa Marehemu-Haji Sekibo -0713 866 480
2. Dada wa Marehemu -Masha Sekibo 0719226422.
MUNGUA AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMIN
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...