Bi harusi Mtarajiwa Jestina Julius (kushoto) akiwa katika tabasamu na mpambe wake Mrs. Upendo Shija mara baada ya kumaliza kurembwa Clara Beauty Salon iliyopo Kimara Suka Dar es Salaam, ambako Sherehe ya Send Off yake itafanyika katika Ukumbi wa Unenamwa na kufatiwa na Ndoa inayotarajiwa kufungwa Agosti 21, 2016 jijini Dar es Salaam katika kanisa la Waebrania (E.A.G.T) lililopo Kimara. Picha zaidi BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
USIKU WA JESTINA JULIUS LEO KIMARA SUKA JIJINI DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...