Steps
Intertainment inazindua kwa mara ya kwanza inazindua filam ya karabati
robo katika kituo cha TV cha SIBUKA katika channel 111 na kwenye
king’amuzi cha Startimes Septemba 23 mwaka huu.
Akizungumza
na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Msanii maarufu wa Filamu nchini,
Jacob Steven a.k.a JB amesema kuwa filamu hiyo ina ubora wa viwango vya filamu.
Amesema
kuwa wadau waipokee kazi hiyo wataburudika kutokana na umahiri uliotumika katika
kuandaa filamu hiyo.
Aidha
amesema kuwa wasanii waliohusika wana majina ambao wamefanya filamu hiyo kuwa
bora wake kuanzia kwa jina karabati robo. Jb
amewataka mashabiki wake kuendelea kupokea kazi zake ikiwemo hiyo na kazi
zingine .
Msaani
maarufu wa Filamu, Jacob Steven
a.k.a JB akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaa juu ya
uzninduzi wa filamu yake ya karabati robo iliofanyika jijini Dar es salaam leo,
Kushoto ni Mratibu wa Kitengo kungalia kazi za wasanii wa Startimes, Paulina
Kimweli na kulia ni Meneja wa Steps Intertainment, Myovela Mfwaisa Picha
na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...