Kundi la DDI Crew lililoingia fainali ya mashindano yaliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania ya Dance 100%, wakishindana kwenye nusu fainali ya mashindano hayo katika viwanja vya Don Bosco jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki.
Wasanii wa Clever Boys ambao wameingia fainali ya mashindano yaliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania ya Dance 100%, wakichuana kwenye nusu fainali ya mashindano hayo katika viwanja vya Don Bosco jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wakionyesha vipaji vyao ni kundi la Wazawa ambao wamefanikiwa kuingia fainali ya mashindano yaliyodhaminiwa na Vodacom Tanzani ya Dance 100%, wakati wakipambana kwenye nusu fainali ya mashindano ya Dance 100% katika viwanja vya Don Bosco jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Kundi la Wazawa ambao wamefanikiwa kuingia fainali ya mashindano yaliyodhaminiwa na Vodacom Tanzani ya Dance 100%
Mmoja wa Majaji wa mashindano yanayodhaminiwa na Vodacom Tanzania ya Dance100%, Super Nyamwela (kulia) akionyesha umahiri wake wa kucheza kwenye nusu fainali ya mashindano hayo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Wanaoshangilia ni majaji wenzake, Lotus Kyamba na Khalila Kellz.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...