Bendi Maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni wanatarajiwa kutuo katika kisiwa cha Monaco kufanya show maalumu kwa mwaliko wa Yacht Club ya Monaco,bendi hiyo itawatumbuiza
mabwanyeye hao katika kisiwa hiko cha kuponda raha siku ya jumamosi 10 September 2016 usiku hadi asubuhi. Pia habari za uhakika zinasema kuwa yule mbwa wao aina ya Bulldog aliyepotea amepatika na kurudishwa kwa mkuu wa bendi hiyo kamanda Ras Makunja.
Usikose kupata muziki at www.ngoma-africa.com
au jiunge nao at www.facebook.com/ ngomaafricaband
Kamanda Ras Makunja katika ligwaride
Safu ya mbele ikishambulia
FFU Ughaibuni na mdau
Ze Ngoma Africa Band bin viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens aka ffu hapo kazi tu hakuna kuremba remba
ReplyDeleteNgoma Afrika band wanawakilisha kimataifa,kikamanda ketu kinatisha
ReplyDeleteWazee wa kushambulia kimataifa ze ffu-ughaibuni jamaa imara kweli
ReplyDelete