Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na maafisa na viongozi wengine mbalimbali akikata utepe kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles baada ya kukata utepe kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiingia kwenye ndege mojawapo baada ya kukata utepe kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na maafisa wengine waandamizi wakiwa kwenye ndege mojawapo baada kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoka kwenye ndege mojawapo na kuelekea ingine baada kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
MKUU WA NCHI YOTE ULIO SEMA NI KWELI, NA UKWELI UNATABIA MOJA NZURI SANA, HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO, HAUJALI ADUI WALA RAFIKI, KWAKE NI SAWA. NA VILE VILE UKISEMA UTAFUTE FURAHA MAISHANI NI KAMA KUMTAFUTA PAKA MWEUSI KATIKA CHUMBA CHENYE GIZA.
ReplyDeleteDR, JAMESSY
uzuri wa ndege hizi zikizimika unashtua au unapiga hendeli.
ReplyDeletepaka mweusi, unawasha taa au unapapasa mpaka unampata. Huwezi basi ukae na huzuni maishani. Alichofanya JPM ni kumtafuta huyo paka mweusi gizani (fisadi ktk nchi masikini), ili watanzania wafurahie maisha. raha na furaha zipo usipokata tamaa. usiseme haiwezekani paka mweusi gizani. inawezekana ukitumia njia sahihi.
ReplyDeleteNi muda wa kumi na moja toka serikali ya awamu ya tano ingie madarakani, na tayari ndege mbili mpya kupaa angani!
ReplyDeleteKwa kweli nawatakia heri na mafanikio mema Mheshimiwa Raisi JP Magufuli na serikali yake. Juhudi zenu zinaonekana.
Mungu ibariki Tanzania.