Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja
Generali Mstaafu Salim Kijuu akipokea kikombe cha ubingwa wa CECAFA kwa
wanawake kutoka kwa Nahodha wa Kilimanjaro Queens Sophia Mwasikili.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja
Generali Mstaafu Salim Kijuu(kushoto) akiinua juu kikombe cha ubingwa wa
CECAFA kwa wanawake alichokipokea kutoka kwa Nahodha wa Kilimanjaro
Queens Sophia Mwasikili(kulia).
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja
Generali Mstaafu Salim Kijuu(kushoto) akipokea Bendera ya Taifa kutoka
kwa katibu wa Chama cha Mpira mkoani Kagera Bw. Salum Chama mara baada
ya Mabingwa wa CECAFA kwa wanawake Kilimanjaro Queens kuwasili kutoka
Nchini Uganda katikati ni Mwenyekiti wa Soka la wanawake Amina Karuma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...