Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ningependa Mheshimiwa Makonda aangalie tena waendeshaji wa Bajaj hasa walemavu . Uendeshaji wao wa vyombo ni rough sana wanakimbizana , wanapeana ubavu wengine hawaaangali kama wamepakia watu ... yaani kama wamepakia magunia ya viazi . Nchi zilizoendelea madereva wenye ulemavu au wenye umri zaidi ya miaka 65 uendeshaji wao ni wa makini sana na uangalifu zaidi . Hivyo watu wengi wanakuwa na imani nao zaidi . Ningependa Mh. Makonda kwa kushirikiana na vyombo vya usalama , Traffic kutoa elimu zaidi kwa watu wenye ulemavu pindi wanapotumia vyombo vya moto .
ReplyDelete