Mkurugenzi
wa Huduma za Sheria kwa Umma Bw. Justus Mulokozi akifungua kongamano la
Kitaifa la Haki ya Afya ya Uzazi katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya
New Africa jijini Dar es salaam ambapo wadau mbalimbali wamehudhuria
katika kongamano hilo wakiwemo Wanasheria , Wanasiasa, Wanafunzi
Waandishi wa habari pamoja na waalikwa mbalimbali.
Mkurugenzi
wa Chama cha Wanasheria Wanawake TAWLA Bi. Tike Mwambipile akizungumza
katika kongamano hilo wakati alipokuwa akifafanua mambo mbalimbali
kuhusu Haki ya Afya ya Uzazi.
Spika
Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mama Anne Makinda
akiwa katika kongamano hilo pamoja na washiriki wengine kutoka kulia ni
Mkurugenzi wa Huduma za Sheria kwa Umma Bw. Justus Mulokozi, Mwenyekiti
wa TAWLA Bi. Attanasia Soka na Jaji Winnie Korosso.
Baadhi
ya wadau mbalimbali katika picha tofauti wakionekana kufuatilia na
kuandika mambo muhimu yanayojadiliwa katika kongamano hilo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...