Na Dotto Mwaibale
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Philipo Mangula,amesema ameanza
kupokea mafaili ya wana CCM ambao wameanza kujipitisha kutoa rushwa kwa
ajili ya uchaguzi mkuu wa ndani wa chama hicho unaotajariwa kufanyika
mapema mwakani.
Mangula
amesema ana taarifa kwamba wanaCCM wengi wameanza kutumia mbinu chafu
za fedha kutaka nafasi mbalimbali na kwamba imekulakwao kwakuwa
hawataweza kupenya atawashughulikia.
Mangula
alitoa kauli hiyo alipokuwa akitoa mada ya maadili ya viongozi kwenye
kongamano
la maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika
katika Chu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni jijini Dar es
Salaam
jana na kueleza kukerwa na tabiya ya wafanyabishara wenye fedha ya
kutaka kuteka kila mahali.
Alisema
ndani ya
CCM nimaarufu kwa jina la mzee wamafaili, hivyo ataendelea kupitia
mafaili hayo ilikuhakikisha maadili yanazingatiwa na kuenzi misingi
yaAzimio
la Arusha kwani hakuna atakayepenya kwa njia za rushwa.
“Zipo
taarifa kuwa wapo baadhi wameanza kujipitisha na kutoa rushwa kwa ajili
ya uchaguzi wa mwakani, nawahakikishia kwangu watu hao hawawezi
kupitani tamfuatilia kila mmoja atakaye jihusisha na rushwa hapati
nafasi hiyo,”
alisema.
Alisema ili kudhibiti mianya hiyo atahakikisha sheria inatungwa ya kutenganisha kati ya wafanyabiashara na uongozi kwa
vile wafanyabishara wanatafuta nafasi ya uongozi ilikuendeleza biashara zao.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Mhandisi Stella Manyanya (kulia), akihutubia wakati alipokuwa akifungua kongamano la maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni Dar es Salaam jana.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Mhandisi Stella Manyanya (katikati), akisalimiana na wafanyakazi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere alipokuwa amewasili kwenye kongamano la maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika chuoni hapo Dar es Salaam jana. Kushoto ni mkuu wa chuo hicho, Profesa Shadrack Mwakalila. Manyanya alikuwa mgeni rasmi katika kongamano hilo.
Mgeni rasmi wa kongamano hilo Mhandisi Stella Manyanya (wa tatu kulia waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali walioshiriki kwenye kongamano hilo.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Mhandisi Stella Manyanya (kulia), akihutubia wakati alipokuwa akifungua kongamano la maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni Dar es Salaam jana.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Mhandisi Stella Manyanya (katikati), akisalimiana na wafanyakazi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere alipokuwa amewasili kwenye kongamano la maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika chuoni hapo Dar es Salaam jana. Kushoto ni mkuu wa chuo hicho, Profesa Shadrack Mwakalila. Manyanya alikuwa mgeni rasmi katika kongamano hilo.
Mgeni rasmi wa kongamano hilo Mhandisi Stella Manyanya (wa tatu kulia waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali walioshiriki kwenye kongamano hilo. HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...