Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kanda na Kimataifa, Balozi Dkt. Augustine Mahiga na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki, Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hamisi Kigwangwalla katika picha ya kumbukumbu na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 7, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na
Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi alipokutana nao Ikulu
jijini Dar es salaam leo Oktoba 7, 2016.
Balozi
wa Tanzania nchini Canada Mhe Jack Mugendi Zoka akichangia mada wakati
wa mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akiongea na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi
alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 7, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana
na Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe Jack Mugendi Zoka baada ya
kuongea na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi alipokutana nao
Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 7, 2016
KWA PICHA ZAIDI BOFYAHAPA
KWA PICHA ZAIDI BOFYAHAPA
MKUU WA NCHI, NATAKA KUTOWA USHAHURI, KWA MAWAZO NI VIZURI MABALOZI WAKUU WANAO WAKILISHA NCHI ZETU WAWE WANATOKA TANZANIA KAMA JINSI ILIVYO, LAKINI ILI KUPUNGUZA MATUMIZI NI VIZURI WAFANYAKAZI WENGINE WOTE WANAO FANYA KAZI HAPO UBALOZINI, NAFASI HIZO ZICHUKULIWE NA WATANZANIA WANAO KAA KATIKA NCHI HIZO USIKA, KWANI MTAKUWA MMEOKOA PESA NYINGI SANA, HUYU MTANZANIA KAMA YUKO INDIA MFANO, HAPO NI KWAKE ANISHI HAPO HATA KAMA MTAMFUKUZA KAZI HAMTAKUWA NA GARAMA ZA KUMRUDISHA NYUMBANI, HAYO NI MAWAZO TU.
ReplyDeleteDR, JAMESSY
(1) Sio tu nafasi zichukuliwe na Watanzania wanaokaa nje; Zitolewe kwa Watanzania wenye uchungu na Taifa lao eidha wawe nje au ndani na wenye vigezo.
Delete(2) Watanzania watakao itetea Foreign Policy yetu na interests zote za Tanzania 110%
(3) Watanzania wenye kujua Diplomacy & Foreign relations au wawe na experience tofauti kulingana na mahitaji ya Tanzania ktk nchi hiyo.
(4) Ukisema wapewe wanao kaa nje ni kana kwamba unavutia mkate kwenu while we need people who can defend our national interests 110% and not doing politics.
(5) In short, tunahitajia experienced Patriotic people to cover positions which will bring us Profits (development, etc) and drives our Foreign Policy abroad.