Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao cha
Mpango kazi wa mwaka 2017-2017 cha Uongozi wa Wizara ya
Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira katika utekelezaji wa robo mwaka ya
kwanza ya Julai-Septemba kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha

Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2017-2017 katika
utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba kilichofanyika
leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2017-2017 katika
utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba kilichofanyika
leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
Baadhi ya Maafisa wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2017-2017 katika
utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba kilichofanyika
leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 17/10 /2016.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...