SIMU.TV: Jeshi la polisi jijini Dar es Salaam limewakamata vijana wadogo kumi na tano wa kundi la panya road katika eneo la Temeke. https://youtu.be/ZM69VE_qVJM
SIMU.TV: Kaimu mkuu wa mkoa wa Geita Herman Kapufi ameagiza kuondolewa kwa askari polisi wasio waaminifu katika kituo cha polisi cha Nyarugusu. https://youtu.be/n2WTbpw-mGI
SIMU.TV: Japokua asilimia kubwa ya uzalishaji wa mazao ya vyakula na biashara kwenye kilimo hufanywa na wanawake bado kundi hilo halijapewa haki ya kumiliki ardhi sawa na wanaume. https://youtu.be/2ieYhc3Se1c
SIMU.TV: Shehena ya magogo yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 17 yaliyovunwa kinyume na utaratibu yamekamatwa na yanashikiliwa na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Rufiji. https://youtu.be/240JZplKMaU
SIMU.TV: Asilimia 30 ya tembo barani Afrika hupungua kila mwaka kutokana na kukithiri kwa vitendo vya ujangili kwa wanyama pori. https://youtu.be/zWRgsC3MABg
SIMU.TV: Jeshi la polisi mkoa wa Kigoma limefanikiwa kumuua mtuhumiwa wa ujambazi anayedaiwa kuhusika na matukio kadhaa ya ujambazi katika wilaya za mkoa wa Kigoma.https://youtu.be/opXHv_5dqRE
SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa kiwanda cha kukamua mafuta ya Karanga kilichopo wilayani Nachingwea kupeleka nyaraka zinazoonesha kuuziwa kiwanda hicho na serikali kipindi cha ubinafsishaji. https://youtu.be/rit_FgoSx_o
SIMU.TV: Kampuni ya uwekezaji ya TCCIA imejipanga kuiunga mkono serikali kwa kuwekeza katika sekta ya viwanda. https://youtu.be/Oa2YNQo_PfI
SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Ilala Sofia Mjema ameuagiza uongozi wa soko la samaki Ferry kuongeza idadi ya matundu ya vyoo katika soko hilo. https://youtu.be/Zhb0phD6Q8E
SIMU.TV: Ligi kuu Tanzania bara inatarajiawa kuendela tena kesho wakati timu mbalimbali zinatarajiwa kuingia uwanjani. https://youtu.be/v39Tk_ADB14
SIMU.TV: Serikali wilayani Rorya mkoani Mara imesema itahakikisha inaendeleza vipaji kwa vijana wanaopatikani kupitia ligi mbalimbali. https://youtu.be/x-xqYAX5AdU
SIMU.TV: Kampuni ya urushaji wa matangazo kwa njia ya digitali ya Multichoice inayomiliki ving’amuzi vya DSTV imetangaza punguzo la bei kwa vifurushi vyake.https://youtu.be/_hfUzjWoV60
SIMU.TV: Kampuni ya Vodacom Tanzania imemtangaza Bi Paulina Kulwa kuwa mshindi wa jumla wa shindano la M Pawa linalohamasisha wananchi kujiwekea akiba.https://youtu.be/D9pwGQv0qEk
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...