Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tulia Ackson akiongoza kikao cha saba cha
mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9,
2016.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Mhe. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge katika
kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini
Dodoma Novemba 9, 2016.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.
Philip Mpango akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge katika kikao
cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Novemba 9, 2016.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...