Mdau wa Globu ya Jamii Dkt. Ramadhani Marijani akipongezwa na mama yake mzazi baada ya kudaka nondozzz ya uzamivu ya utawala wa umma (PhD in Public Admnistration) Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) Wikiendi hii.
Mdau wa Globu ya Jamii Dkt. Ramadhani Marijani akivishwa shada la maua kwa kudaka nondozzz
Mdau wa Globu ya Jamii Dkt. Ramadhani Marijani akipozi na familia yake baada ya kudaka nondozzzz UDSM
Hongera sana Dakta..
ReplyDeleteWatanzania kwa ujumla ni wakati wa kuweka mbele suala la elimu kwani ndio chachu ya maendeleo katika nchi yoyote duniani kuanzia ngazi ya familia. Ushahidi upo kwa utafiti mdogo wa kiuchumi, magonjwa,afya bora, kwa wenye elimu ya juu na wasiokuwa nayo..
Ni wakati wetu sasa Tanzania.