Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akimkabidhi
vitendea kazi Mwenyekiti mpya wa bodi ya TRL, Profesa John Kondoro
alipozindua bodi hiyo jijini Dar es Salaam jana mchana.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Masanja Kadogosa akifafanua jambo wakati wa Mkutano wa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa na wafanyakazi wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akifafanua jambo kwa wafayakazi wa TRL alipoongea nao jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Masanja Kadogosa.Kulia ni Mwenyekiti ya Bodi ya TRL, Prof. John Kondoro.
Wafanyakazi wa kampuni ya Reli Tanzania (TRL), wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ( hayupo pichani), alipoongea nao jana mchana jijiini Dar es Salaam.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...