Msanii wa muziki wa Singeli Tamimu Mshauri Salum akiwapagawisha mashabiki wa muziki huo kwenye tamasha Mziki Mnene linalodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika viwanja vya Gonga Ukonga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wakaazi wa Ukonga jijini Dar es Salaam wakipagawa na mziki wa kizazi kipya wa Singeli wakati wa tamasha la Mziki Mnene lililofanyika katika viwanja vya Gonga na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania mwishoni mwa wiki.
Msanii chipukizi wa mziki wa Singeli mkazi wa Ukonga jijini Dar es Salaam,Aaron Chiwaz akiwapagawisha wakazi wa mji huo kwenye tamasha Mziki Mnene linalodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika viwanja vya Gonga Ukonga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...