Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Michuzi please expose huu ujumbe points zangu ni hizi.

    1.Tanzania isijikite kukamua kodi bila kusaidia
    wafanyabiashara wadogo.Sina imani mfanyabiashara wa Tanzania kama ana msamiati wa hasara.Wajengeeni uwezo wafanyabiashara wadogo wajue kutunza hesabu ili tu kodi itozwe kwenye faida.kwa hapa nilipo uingereza kuna Tax returns kwa mfanyabiashara yeyote. wadogo wanasaidiwa kwenye VAT kwa njia ya flat rate scheme,cash accounting scheme, start up loans ambazo zina fixed rate 6%tu.sponsord trainings nk.kiukweli hapo dar wengi waendesha Trainings wanaganga njaa sana kwani trainings zinahitajika kum nature mfanyabiashara hadi asimame.Tunaweza kuuliza 10,000,000 zilizotoka Bank kuu kama wana mrejesho waliogawiwa walifanya nini? namjua mmoja hela ilivyoingia kwenye account tu ndo kwa heri.
    2.serikali lazima iwe seriuos pia na watu wake.inaweza kusema inakusanya kodi kumbe inawapa wafanyabiashara loophole ya kupata pesa zao kwa njia isiyo hai. Namshukuru sana msomi huyo mfanyabiashara mzarendo Mo lakini kati ya biashara kwa kipindi ninachokikumbuka zinazo flourish kwa very cheepest labour ni viwanda vyake.sidhani kuwa na billionaire wakati wanaokuwezesha kuwa billionaire wanashindwa hata kulipa kodi na kula kama ni baraka maana kwa mara ya mwisho wengi sana sana walikuwa wanalipwa 100,000 per month hiyo dhambi kama bado ipo itajibiwa na billionaire pamoja na serikali.watu walikuwa wanaumia wanakatwa vidole hawana chao. hope mnayafanyia kazi ili tujibu vizuri kwa mora wetu.

    3.Naiona Tanzania yenye kuheshimiana mzee Dewej amesema kitu muhimu sana kuwa ardhi ilianza kuwa dhahabu isiyonunulika utamaduni wa kuona pesa kuwa ngumu ni heshima kwetu watanzania maana hata tulioko nje ndo hali tuliyoizoea kwani ili upate pesa ni lazima ujitume kwelikweli.na watanzania naamini ipo siku watazoea kulipa kodi nitoe tu wito kwa serikali kwa kuwa inawafahamu Raia wake ni vema tukawa na data base za mapato yetu na kdo kwa njia yoyote tunayopatia kipato chetu maana wapo wengi sana hawalipi kodi kwa hiyo Mzee Dewj kama alivyosema kila mtu ajulikane no matter what amount ana earn

    ReplyDelete
  2. Mabenki ya hapo nyumbani yajitathmini interest rate ni kiama cha biashara za Tanzania wajitathmini kulinganisha na nchi nyingine rate zinazotozwa.ila pia TRA kodi si vita msiwafilisi watu kwa sababu hawajalipa kodi kwani lengo ni biashara iendelee na kodi ilipwe hata kama ni mwaka pangeni mkakati wa wa kulipana ndo tutakavyoendelea.suala la kuheshimiana kimapato halina mjadara wapiga dili watafute pa kwenda maana hata hapo Rwanda tu hufanyi dili kimchezo mchezo waondoke kama hawawezi kutuvumilia kutengeneza nchi yetu .Heko kwa Rais wetu Pombe tunampenda sana

    ReplyDelete
  3. SISI WAFANYABIASHARA YA VIUMBE HAI TUNAIONA SERIKALI HII IMETUUA NA KUTUINGIZA KWENYE HASARA YA KIMAISHA,UKWELI NI KUWA TUMELIPIA LESENI JANUARY -31 DECEMBER 2016,WAFANYABIASHARA WALIPIA VIBALI VYA KUKAMATA NDEGE,MIJUSI,NK LAKINI GHAFLA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII ALITANGAZA KUIFUNGIA BIASHARA HII,BILA KUJALI STOCK WALIYONAYO KWA KWELI TUMEPATA HASARA MIKOPO YA MABENKI,SACCOS,TAASISI ZA FEDHA NK WATU HAWAELEWI HAWA VIUMBE WATAENDELEA KULISHWA HADI LINI WAKATI,VIUMBE SASA WANAKUFA SERIKALI HAIJALI TUMEINGIZWA KWENYE UMASIKINI SISI WAFANYABIASHARA KIASI TUNAONA HII AWAMU SI RAFIKI WA WAFANYABIASHARA.HAPA NASEMA HATA HAKI ZA BINADAMU HAZIKUFUATWA KABISA,TUPO KWENYE LINDI LA KUWA MASIKINI HUKU TUKIONA NYUMBA ZETU ZIKIPIGWA MINADA,WATOTO WAMESIMAMISHWA SHULE YOTE HII BILA KUSIKILIZWA KWA NINI WAZIRI HUYU HAKUTAKA HATA KUWAAMBIA WAFANYABIASHARA WASAFIRISHE STOCK ZAO AMBAZO ZINA VIBALI HALALI KWANZA NDIPO ASIMAMISHE???? KWA KWELI NI MASIKITIKO TUNAONA MUNGU AMETUPIGA CHINI KWENYE HII AWAMU YA TANO TULICHOFANYIWA SI HAKI KABISA MBELE YA MUNGU.

    ReplyDelete
  4. MWAKA MMOJA WA KIPINDI CHA WAFANYA BIASHARA WA VIUMBE HAI,( NYOKA, VINYONGA,MIJUSI,WADUDU,NA NDEGE HAI) HALIO YETU SIO NZURI. TUMEFUNGIWA BIASHSARA BILA SABABU ZOZOTE ZA KIUCHUMI WALA ZA UKWELI...
    ILI NCHI IPIGE HATUA SWALA LA EXPORT NI LA MUHIMU MKUBWA NA LA KIPEKEE..
    TANZANIA HATUNA EXPORT NYINGI HIVYO NI MUHIMU KULINA EXPORT TULIZO NAZO... INAPOTOKEA WAZIRI ANAZUIA EXPORT ZA MIJUSI,NYOKA,NDEGE HAI NA WADUDU INASHANGAZA SANA KAMA KWELI MTU HUYU ANANIA YA KWELI YA KUSAIDIA NCHI YAKE KAMA ALIVYOAPA..
    NCI NYINGI ZINAFANYA BIASHARA HII, KAMA MISRI, MAREKANI NA MAJIRANI ZETU.. BIASHARA HII INAFANYIKA KWA SHERIA YA BUNGE YA MWAKA 2009..NA PIA INAFANYWA NA WAENYE LESENI TU, NA WATANZANIA TU, KWA MPANGILIO MAALUM WA KITALAAMU UNAOITWA ' QUOTA' AMBAO UNAHAKIKISHA VIUMBE HUSIKA HAWAVUNWI KUPITA KIASI, NA MGAO HUU HUPANGWA NA WATAALMU WA WIZARA ,TAASISI HUSIKA NA VYUO VIKUU HUSIKA.. HIVYO KWA BIASHARA HII HUWEZI KUIFANYA BILA LESENI WAL HUWEZI KUKAMATA VIUMBE AMBAO HAWAMO KWENYE MGAO WA TAIFA WALA ULE WA KILA LESENI...HATA AIRPORT KUNA UKAGUZI KABLA MWNYE LESENI HAJASAFIRISHA, UKAGUZI HUFANYWA PIA NA VETERINARY WANAOPIMA AFYA YA VIUMBE HAWA KABLA YA KUSAFIRSHWA...
    UKWELI NDI HOU, SISI WAFANYABIASHARA WA BIASHARA HII TUNANYANYASWA, NA KUONEWA NA WAZIRI WTU WA MALI ASILI NA UTALII KWA SABABU YA UDOGO WETU..
    TUNAMWOMBA MWESHIMIWA RAIS WTU MHE. JP MAGUFULI AKUTANE NA SISI TUNAMAMBO MENGI TUNGEPENDA KUMWAMBIA AMBAYO HAYAJUI, TUMWAMBIE KISA CHA KUONEWA KWETU..
    KUNA WATANZANIA ZAIDI YA MILIONI MOJA HAWANA KAZI KWA SABABU YA AGIZO LA WAZIRI KUFUNGA BIASHARA HII..
    MHE. RAIS TUNAOMBA MSAADA WAKO KWENYE HILI...TUNAKUOMBEA MUNGU SANA,AKUPE MAISHA MAREFU NA YA AMANI.

    ReplyDelete
  5. ..ASALAAM ALEYKUM, NIMEYASOMA MAONI YA WAFANYABIASHARA WENZANGU WA VIUMBE HAI, MACHOZI YAMENITOKA,,,UKWELI WAFANYABIASHARA TUMEJARIBU KUMWONA WAZIRI WETU WA MALI ASILI NA UTALII, MHE. J.MAGHEMBE LAKINI HATAKI KABISA...NA HATOI SABABU ZA KUKATAA KUTUONA ILA TUNAMWONA KWENYE VYOMBO VYA HABARI AKIZUNGUMZIA BIASHARA YETU KWA TAARIZA ZISIZO SAHIHI...
    WAKATI ANAFUNGA BIASHARA HII WATU WALIKUWA NA VIUMBE MAZIZINI NA HATAKI KURUHUSU WASAFIRISHWE...JAMANI SASA ANATAKA TUFANYE NINI.?? NA HELA TULISHA LIPA SERIKALINI,:?? KWANINI ANATUGOMBANISHA NA SERIKALI YETU AMBAYO TUNAJUA INAJALI WANYONGE KAMA SISI.??
    HIVI MTU AKISAFIRISHA HAWA NYOKA,WADUDU,NDEGE HAI NA KUINGIZA NCHINI FEDHA ZA KIGENI KUNA KOSA GANI JAMANI.?/ MBONA WIZARA YA KILIMO INAINGIA GHARAMA KUBWA KUUWA VIUMBE HAWA HAWA WAKATI WA ZOEZI LA KUNYUNYUZIA DAWA ZA KUUWA VIUMBE WAHARIBIFU WA MAZAO KILA MSIMU.??
    HIYO MAMLAKA ILIYOANZISHWA YA WANYAMA PORI (TAWA) INAFANYAJE KAZI KAMA MOJA YA BIASHARA KUBWA INAYOTAKIWA KUISIMAMIA NA HII YA VIUMBE HAI AMBAYO IMEFUNGWA.?? JAMANI TUNAENDA WAPI.?? SASA TOKA BIASHARA IMEFUNGWA SERIKALI HAIPATI MADUHULI ILIYOKUWA INAPATA TOKA TOZO ZA KILA KIUMBE ANAYESAFIRISHWA...HATA FEDHA ZA KIGENI TOKA SEKTA HII NAZO HAZIINGII TENA NCHINI...KWELI HII NDI FAIDA .?/
    SERA YA WANYAMA PORI NI."" MATUMIZI ENDELEVU. (SUSTAINABLE UTULIZATION).. NA UHIFADHI UNAENDA NA MATUMIZI..NDIO SERA MAMA YA IDARA YA WANYAMA PORI...
    WATANZANIA TUPENDANE , VIONGOZI WETU TUFANYE MAAMUZI KWA TAARIFA SAHIHI..
    MH. WAZIRI MKUU, TUSAIDIE KWENYE JAMBO HILI, TUNAJUA UNALIJUA..
    TUNAOMBA SANA UTUSIKILIZE.

    ReplyDelete
  6. Wewe n 5,Hakuna cha waziri mkuu wala waziri wala rais.viongozi chama chetu wameenda kote huko waziri mkuu anasema rudini kwa waziri wa maliasili na waziri anasema aliyefunga ni rais na ikuru wanasema rudini maliasili hao ndiyo wananajua kwani mliona wapi tangazo la raisi katangaza kufunga biashara yenu.safari tunaona mateso watu wanashida ya kupoteza mali zao kuuziwa na mabenki.kinachonishangaza kwa nini huyu waziri kafunga bila kuhakikisha hawa wafanya biashara wanasafirisha mali zao walizonazo kwenye mazizi yao????wamelipia vibali vyote wana leseni halali,wanaviumbe hai kwenye mazizi yao.yaelekea rais hajui kwa nini hawa wafanyabiashara wanataabika wakati wana kila kitu halali vibali, leseni,quota ya 2016 kwa nini hii serikali imeamua kuwaangamiza watanzania hawa bila ya kosa lolote wanadaiwa na importers,mabenki,saccos nk watu million moja walio na wanaotegemea katika hii biashara wanaenda kupoteza mali zao.huu ni uonevu kabisa kwa watanzania hawa.ni dhambi kubwa viumbe hawa wanakufa kwa kuwa hawana fedha za kuwalisha hii ni aibu sana tena sana.kwa serikali hii kuwadhulumu raia wake wakati fedha zao zimelipwa.napenda kumfahamisha raisi na watanzania wote.kuwa kitendo kilichofanywa na serikali hii kitaingiiza Tanzania kwenye makesi mengi,kwanza tayari wale raia wa Uholanzi waliofunguliwa kesi ya kutunga ya kutorosha tumbili wekundu kule kia baada ya kuachiwa huru wamefungua kesi ya kimataifa ili nchi ilipe hasara ya waliyoingia pamoja na gharama kukodi ndege na pili kuna warusi wapohapa wamekuja kufuatilia wanyama wao wana vibali na kila kitu wamewalipa exporters hapa wameshapelekeka malalamiko yao serikalini,ikulu na sasa wamechoka wameamua kufungua kesi ya kimataifa kudai haki zao kisa waziri bila kufuata taratibu hata bila kuwashirikisha wataalaamu wake anafunga bila kufuata sheria hii hata amekiuka haki za binadamu ni uonevu kabisa kabisa,tatu tayari wafanya biashara wawili wameshafungua kesi mahakama kuu wanadai walipwe bil.19 kwa hasara ya kuzuiwa kufanya biashara wakati wa leseni wanaviumbe hai halali,wanavibali halali wameilipa serikali kila kitu wanadai fidia.mimi naona muhimu sana rais ukawasikiliza hawa wafanya biashara kuokoa hili tatizo vinginevyo waziri anaingiza nchi kwenye hasara ya kufidia na watanzania hao millioni moja wanaotegemea biashara hii waione serikali yako haifuati misingi ya kibiashara na ya kionevu.naona mh.JPM umepotoshwa kwenye hili suala.

    ReplyDelete
  7. SI MLIMCHAGUA WENYEWE SASA KELELE ZA NINI? HAPA KAZI TU SUBIRINI KUSHANGAA YA MUSA ILI MUONE YA FIRAUNI. HAKUNA KUFUATA SHERIA HAPA.NAJUA BIASHARA HII IMEANZA KABLA YA UHURU NA IPO INASIMAMIWA NA UMOJA WA MATAIFA GENEVA KWENYE CITES-SECRETARIAT

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...