Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, anayeshughulikia Siasa
na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga
(kulia), akizungumza na Mkurugenzi Mkazi hapa nchini wa Taasisi ya
Fredrich Ebert Stiftung (EFS) ya Ujerumani, Michael Schultheiss, katika
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo,
Januari 19, 2017. (Picha na Bashir Nkoromo).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...