Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana akimkaribisha Balozi wa China hapa nchini, Mhe. Dkt. Lu Youqing   alipofika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinza.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha katika ukumbi wa mazungumzo Balozi wa China hapa nchini 
Mhe. Dkt. Lu Youqing   alipowasili katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo .

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa China hapa nchini  Mhe. Dkt. Lu Youqing   Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo .

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimtambulisha Katibu mpya wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinza, wakati wa mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo ya Makao makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Saalaam, leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Shukrani kwa taarifa ila kuna makosa kwenye uandishi, Balozi wa China nchini anaitwa Lu Youqing na sio Lu Young

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...