Mdau Luqman Ramadhani Dau akiwa na mama yake  Mrs Zeinab Dau  na baba yake mdogo Abdul Dau akifurahia baada ya kutunukiwa nondozzz ya MSc Biotechnology kutoka Chuo Kikuu cha Warwick nchini Uingereza leo.
Mdau Luqman Ramadhani Dau akiwa na Profesa wake baada ya kutunukiwa shahada ya MSc Biotechnology Chuo Kikuu cha Warwick nchini Uingereza
Mdau Luqman Ramadhani Dau akiwa na mmoja wa wahitimu wenzie baada ya kutunukiwa shahada ya MSc Biotechnology Chuo Kikuu cha Warwick nchini Uingereza
 Mdau Luqman Ramadhani Dau akifurahia nondozzzzz yake akiwa na mama yake  Mrs Zeinab Dau  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...