Afisa wa kutengeneza bidhaa wa TTCL Rashid Maggid akimueleza Waziri Gavu namna ya huduma ya 4G inavyofanyakazi kwa urahisi na kwa haraka wakati wa sherehe za uzinduzi wa huduma hiyo iliyofanyika makao Makuu ya TTCL Zanzibar, Kijangwani.
Waandishi wa Habari wakifanya mahojiano na Waziri Gavu na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL (hawapo pichani) baada ya uzinduzi wa huduma ya 4G Zanzibar.
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Waziri Waziri Kindamba akijibu maswali ya waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa huduma ya 4G uliofanyika Ofisi Kuu Kijangwani.
Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa TTCL na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Haji Gavu baada ya uzinduzi wa huduma ya 4G Zanzibar. Picha na Makame Mshenga.Kwa taarifa zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...