Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa kwenye picha ya pamoja na Wawekezaji kutoka Uingereza, China na
Afrika ya Kusini ambao wameonyesha nia ya kuwekeza kwenye Sekta ya Afya
na Nishati,wengine waliopo kwenye picha hii ni Waziri wa Fedha na
Mipango Dkt. Philip Mpango, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Mhe. Charles Mwijage, na Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Dk.Hamisi Kigwangalla. (Picha na Ofisi ya Makamu
wa Rais)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...