Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akizungumza na wanahabari kuhusu Jeshi hilo
kuanza kulipa deni wanalodaiwa na Shirika la Umeme nchini TANESCO
kuanzia kesho. Mkutano huo umefanyika katika Makao Makuu ya
Jeshi la Wananchi Ngome jijini Dar es Salaam leo Machi 26, 2017.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...