UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na DAWASA  watauza Magari, Generator, Office fanicha kwa mnada wa hadhara  tarehe 1  April, 2017 Jumamosi saa 4.00 asubuhi. Mnada utafanyika  DAWASA jirani na Hospitali ya Mwananyamala, Dar es salaam.

 MAGARI NA GENERATOR  ZITAKAZOUZWA.
Idadi
Aina
Model
Mwaka
Ushuru
1
Toyota Hilux  D/Cabin
5L Diesel Engine
2008
Haujalipwa
1
Nissan Terrano S/Wagon
TD27 Diesel Engine
2004
Haujalipwa
2
Mitsubish Pajero  S/Wagon
4M40 Diesel Engine
2009/2010
Haujalipwa
2
Mitsubishi Nativa S/Wagon
4M40 Diesel Engine
2005
Haujalipwa
2
Mitsubish P/U double canin
4D56 Diesel Engine
2005/2008
Haujalipwa
1
Isuzu  P/UP single cabin
JAATFS Diesel Engine
2009
Haujalipwa
1
Generator 180 KVA
Caterpillar Diesel Engine
2005
Haujalipwa

FANICHA ZITAKAZOUZWA:
Meza za ofisi / Viti, Book shelf, File cabinet, Computer sets, Water Dispenser, A/c split unit,  Motor za umeme, Spare za magari mbalimbali , Caterpillar assorted parts, Assorted pipe fittings steel/ PVC, Handle pumps, Fire Buckets na vingine vingi.

Mali zote zinaweza kukaguliwa DAWASA jirani na Mwananyamala Hospital tarehe 29 mpaka 31 March 2017 kuanzia saa 4.00. asubuhi mpaka saa 10.00 jioni.

MASHARTI YA MNADA:
  1. Mnunuzi  wa fanicha atatakiwa kulipa malipo yote pale pale. Na mnunuzi wa gari / Generator atatakiwa kulipa 25% pale pale na salio lilipwe ndani ya siku 7 ukishindwa kulipa kwa muda huo gari/Generator litauzwa tena na dhamana haitarudishwa.
  2. Mali zote zitauzwa kama zilivyo.
  3. Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru.
  4. Mali yote iliyouzwa itatakiwa kuondolewa siku hiyo hiyo  baada ya kulipia malipo yote pamoja na ushuru
Kwa maelezo zaidi waone:
UNIVERSAL AUCTION CENTRE                      ( LION STREET SINZA)
SIMU  NO:  0754 284 926, 0757 284 926            E-mail: universalauction@hotmail.com

DAR ES SALAAM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...