Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy A. Mwalimu (Mb) akisalimiana na baadhi ya watumishi wa Wizara yake alipowasili kuanza kazi katika Ofisi yake mpya mkoani Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara Bibi Sihaba Nkinga.
Waandishi wa habari wakifuatilia maelezo ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga alipokutana na Waandishi hao, mkoani Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga akitoa salaam za Siku ya Wanwake Duniani huu alipokutana na wawakilishi wa vyombo katika Ofisi yake iliyoko Chuo Kikuu cha Dodoma, tarehe 28/2/2017.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...