Kutoka STESHENI YA PUGU - Dar es Salaam ambako leo tarehe 12 Aprili 2017 kuanzia saa Nne asubuhi, Mhe. Rais Magufuli ataweka jiwe la msingi na kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa (standard gauge railway) wa awamu ya kwanza kutoka Dar es salaam hadi Morogoro.
Fuatilia moja kwa moja kupitia tovuti rasmi ya Rais, Bofya Link hapa chini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...