Katibu Mkuu wa Chama Cha
Mapinduzi, Ndg Abdulrahman Kinana akutana na Balozi wa Jamhuri ya Korea kusini
hapa nchini Mhe Song Geum-Young alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo katika
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es salaam, leo Mei 29,
2017.
Katika mazungumzo yao,
wamehimiza suala la kuboresha mahusiano baina ya Jamhuri ya Korea Kusini na
Tanzania pamoja na kuzungumzia ushirikiano wa muda mrefu katika kufanikisha
miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchini.
Katibu Mkuu wa Chama Cha
Mapinduzi, Ndg Abdulrahman Kinana akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Korea kusini
hapa nchini Mhe Song Geum-Young alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo katika
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es salaam, leo Mei 29,
2017.
Katibu Mkuu wa Chama Cha
Mapinduzi, Ndg Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Balozi wa Jamhuri ya Korea kusini
hapa nchini Mhe Song Geum-Young alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo katika
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es salaam, leo Mei 29,
2017.
Katibu Mkuu wa Chama Cha
Mapinduzi, Ndg Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Jamhuri ya Korea kusini
hapa nchini Mhe Song Geum-Young alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo katika
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es salaam, leo Mei 29,
2017.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...