Tarehe 02/05/2002 Mama, Bibi Agnes Nyamwiza Ruhuza ulitutoka na kupata mapumziko ya milele.
Leo ni miaka 15, lakini ni kama jana tu!
Bado tunaishi nawe moyoni na mawazoni. Malezi, Upendo uliotupatia, hakika ulikuwa Mama bora na daima tutakuwa nawe.
Kwa maisha uliyoyaishi Duniani, tuna imani kubwa upo pahala pema peponi na watakatifu wote.
Unakumbukwa na wote.
Uendelee kupumzika kwa Amani.
2 Timotheo ( Timothy) 4:7-8
Nitakukumbuka Bibi yangu mpendwa Agnes,sina mengi ya kusema ila kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuilaza roho yako mahala pema peponi.Amen
ReplyDeleteIt's been 15 years since you left us, but the love you provided us will always be with us. You were a beautiful mother and an inspiring Grandmother. We live in your memory and you will always be here with us. Continue to rest my angel Bibi, we love you. Vicky
ReplyDeleteBado tunakumbuka upendo na kipawa Mwenyezi Mungu alichokujalia kutuunganisha ndugu..Sikh zote nyumba yako ilijaa wageni na hukuchoka kisaidia wasiojiweza..Mungu azidi kukupa pumziko jema
ReplyDeleteI miss you Bibi, i still have your smile in my memory and it will forever stay in my heart. Mungu akupumzishe kwa amani Bibi ❤❤❤
ReplyDeleteUzuri wako ni kuanzia muonekano hadi moyoni. Tunakumis sana hasa upendo wako uliotuachia na kusisitiza sana 'tupendane'.
ReplyDeleteTunaishi nawe wakati wote.
Endelea kupumzika kwa amani. Amen.
Brother Issa Michuzi shukrani sana kwa kumkumbuka Mama, ni upendo wako mkubwa. Ubarikiwe sana.
ReplyDelete