Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Tulia Ackson akiongoza kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akijibu maswali Mbalimbali ya Wabunge katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk.Medard Kalemani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Wabunge wakijadili jambo katika kipindi cha maswali na majibu katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...