Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee
na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza mbele
ya wabunge na wadau mbalimbali wa afya na mazingira hwapo pichani wakati wa
uzinduzi wa kampeni ya ya utunzaji wa mazingira ijulikanayo kama “NIPO TAYARI” iliyofanyika
leo mjini Dodoma.
Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee
na Watoto Ummy Mwalimu akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa kampeni ya ya utunzaji wa mazingira
ijulikanayo kama “NIPO TAYARI” uliofanyika mjini leo mjini Dodoma.
Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee
na Watoto Ummy Mwalimu katikati akiwa
amebeba nembo inayoashiria uzinduzi wa kampeni ya kutunza mazingira ijulikanayo
kama “NIPO TAYARI” uliofanyika mjini Dodoma , wengine ni wadau mbalimbali wa
mazingira pamoja na baadhi ya wabunge.
Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee
na Watoto Ummy Mwalimu kushoto akiteta
jambo na Naibu waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bw.
Suleiman Jaffo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ya utunzaji wa mazingira
ijulikanayo kama “NIPO TAYARI” uliofanyika mjini leo mjini Dodoma.
Picha na Ally Daud-WAMJW DODOMA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...