Kisomo wakati wa hafla ya futari ya Kariakoo Family Development Foundation iliyofanyika jana mtaa wa Tandamti na Livingstone na kuhudhiriwa na wanachama, masheikh wa Kariakoo, viongozi wa Saigon Sports Club, wajumbe kutoka Gogo vivu pamoja na watoto wanaolelewa kwenye vituo viwili vya Yatima vya Madina cha Tandale na cha Maalim Bonge kilichopo Jangwani.
Misaada ilitolewa kwawatoto wanaolelewa kwenye vituo viwili vya Yatima vya Madina cha Tandale na cha Maalim Bonge kilichopo Jangwani
Picha ya pamoja ya wanachama wa KFDF na watoto wanaolelewa kwenye vituo viwili vya Yatima vya Madina cha Tandale na cha Maalim Bonge kilichopo Jangwani
Picha ya pamoja ya badhi ya wanachama wa KFDF
Misaada ilitolewa kwawatoto wanaolelewa kwenye vituo viwili vya Yatima vya Madina cha Tandale na cha Maalim Bonge kilichopo Jangwani. Kwa taarifa kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...