Watanzania
wenye asili ya kihindi wakiwa kwenye kifaa kinachotumika na Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji, baada ya jengo lililopo Mtaa wa Inda jijini Dar es
Salaam, kushika moto ambao ulifanikiwa kuzimwa na askari wa jeshi hilo kabla ya kuleta madhara.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.Picha na Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji
Askari
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakiwa
katika shughuli za uzimaji moto baada ya jengo lililopo Mtaa wa India jijini
Dar es Salaam,kushika moto ambao ulifanikiwa kuzimwa na askari wa jeshi hilo
kabla haujaleta madhara.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.Picha
na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Askari
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakijiandaa
kupokea waathirika wa janga la moto katika shughuli za uzimaji moto baada ya jengo
lililopo Mtaa wa India jijini Dar es Salaam,kushika moto ambao
ulifanikiwa kuzimwa na askari wa jeshi hilo kabla haujaleta madhara.Chanzo cha
moto huo bado hakijajulikana.Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Jengo
la ghorofa 12 lililopo Mtaa wa India lililoshika moto na kufanikiwa
kuzimwa na askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,leo jijini Dar es Salaam. Picha
na Jeshi la Zimamoto Na Uokoaji
Kifaa
kinachotumika na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
kuzima moto,kuokolea watu na mali kwenye majengo marefu, kikisaidia
uokoaji katika jengo lililopo Mtaa wa
India jijini Dar es Salaam, baada ya kushika moto ambao ulifanikiwa
kuzimwa na askari wa jeshi hilo kabla haujaleta madhara.Chanzo cha moto huo
bado hakijajulikana.Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA-JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
Huu ni mtaa wa INDIA na sio Indira Gandhi.
ReplyDelete