Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Iran hapa nchini
Mousa Farhang alipokwenda kumpa pole kufuatia shambuliyo la Kigaidi
katika Bunge la nchi hiyo ambapo watu 12 waliuwawa wakimeo Wabunge 6.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Iran kufuatia shambulizo la Kigaidi katika Bunge la nchi hiyo ambapo watu 12 waliuwawa wakimeo Wabunge 6. Kushoto ni Balozi wa Iran hapa nchini Mousa Farhang.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (katikati) akizungumza na Balozi wa Iran hapa nchini Mousa Farhang alipokwenda kumpa pole kufuatia shambulizo la Kigaidi katika Bunge la nchi hiyo ambapo watu 12 waliuwawa wakimeo Wabunge 6. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na Madini Mhe. Dotto Biteko ambaye aliambatana na Mhe Spika na kushoto ni Mkalimani wa Balozi huyo.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiagana na Balozi wa Iran hapa nchini Mousa Farhang mara baada ya kumpa pole kufuatia shambulizo la Kigaidi katika Bunge la nchi hiyo ambapo watu 12 waliuwawa wakimeo Wabunge 6.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...