Kaimu
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Juma akiwa ofisini kwake na
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bahame Nyanduga
pamoja na ujumbe alioongozana nao. Ujumbe huo kutoka Tume ya Haki za
Binadamu na Utawala Bora ulifika Ofisini kwa Kaimu Jaji Mkuu kwa ajili
ya kujitambulisha kwake, kumpongeza kwa kuteuliwa pamoja na kuzungumzia
masuala ya Ushirikiano baina ya Tume hiyo na Mahakama ya Tanzania.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...