Mwenyekiti wa bodi ya Bodi ya Utalii Tanzania ,Jaji Thomas Mihayo akizungumza na wadau wa mikutano wakati wa ufunguzi Semina Maalum ya wadau hao kuhusu utalii wa mikutano hapa nchini ambao utaweza kusaidia mapato ya sekta ya utalii na Taifa kwa ujumla.
Mwenyekiti wa Bodi ya AICC, Balozi Dkt Ladislaus Komba akizungumza katika Semina ya wadau wa mikutano juu ya utalii wa mikutano ambao utaweza kukuza utalii nchini na mapato ya mwekezaji mmoja mmoja kupitia mikutano hiyo
Washiriki wa mkutano huo kutoka bodi ya utali nchini TTB wakifatilia kwa ukaribu yanayozunmzwa katika mkutano huo
Mkurugenzi wa Mikutano kutoka AICC,Mkunde Senyangwa akizungumza na wadau walioshiriki Semina hiyo juu ya umuhimu wa utalii wa mikutano nchini
Sehemu ya wadau walioshiriki mkutano huo wakisilikiliza mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa
Mkufunzi kutoka kampuni ya Business Tourism ya Afrika Kusini ,Rick Taylor akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya nchi nyingi zilivyofanikiwa kupitia Utaliihuo wa Mikutano
Wajumbe wa mkutano huo wakizungumza jambo na Mwenyekiti wa bodi ya Bodi ya Utalii Tanzania ,Jaji Thomas Mihayo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...