Sehemu ya waombolezaji wakishiriki kwenye Mazishi ya Marehemu Shaaban Dede katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam leo.
Mamia ya ndugu, Jamaa na Marafiki wa karibu wa Marehemu Shaaban Dede wakielekea katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhwan Kikwete akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mazishi hayo yaliyofanyika katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza akitoa Salamu za Rambirambi kwa niaba ya Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, katika Mazishi hayo yaliyofanyika katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...