DROO
ya 22 ya waendeshaji wa mchezo wa kubahatisha wa Biko ‘Ijue Nguvu ya
Buku, imefanyika leo jijini Dar es Salaam, huku mkazi wa Morogoro,
Elizabeth Damian akifanikiwa kutangazwa mshindi wa Sh Milioni 20
zinazotolewa na bahati nasibu hiyo.
Mwanadada huyo kutoka mkoani Morogoro, alitangazwa mshindi katika droo iliyochezeshwa na Balozi wa Biko Tanzania, Kajala Masanja kwa kushirikiana na Mwakilishi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Bakari Maggid.
Akizungumza katika droo hiyo, Kajala aliwataka Watanzania kuendelea kucheza Biko ili wajiweke katika nafasi nzuri ya kuvuna mamilioni yanayotolewa na Biko tangu kuanzishwa kwake, huku hadi sasa kwa miezi miwili ya Mei na Juni, zaidi ya Sh Bilioni moja zikienda kwa washindi.
Alisema fursa inayotolewa na Biko ni nzuri kwa uchumi wa Watanzania kwa kuhakikisha kwamba wanacheza Biko mara nyingi zaidi ili wajiwekee mazingira mazuri ya kushinda zawadi za papo kwa hapo kuanzia Sh 5,000, 10,000, 20,000, 50,000, 100,000, 500,000 na Sh Milioni moja, sambamba dau nono la Sh Milioni 20 linalotoka kila Jumatano na Jumapili, kianzio cha kucheza kikiwa Sh 1000 na kuendelea, huku namba ya kampuni ya Biko ikiwa ni 505050 na ile ya kumbukumbu ni 2456.
“Tangu Biko ianze kuchezeshwa Tanzania imekuwa ikitoa nafasi kubwa ya Watanzania kuvuna mamilioni, hivyo nawashauri Watanzania wenzangu kujitokeza kwa wingi kucheza Biko ili nao waweze kuvuna fedha zinazotolewa Biko kwa zawadi za papo kwa hapo pamoja na zile wiki ambazo ndio kubwa zaidi, nikiamini kuwa endapo mtu anafanikiwa kuzipata, naamini atapiga hatua kubwa kiuchumi,” Alisema Kajala.

Mshindi
wa Sh Milioni 20 wa Biko, Yassin Lohai akipiga picha ya shangwe baada
ya kukabidhiwa fedha zake katika tawi la Madaraka la NMB jijini Tanga
leo mchana. Lohai alikabidhiwa na Meneja Masoko wa Biko Goodhope Heaven
hayupo pichani.
Meneja Masoko wa Biko, Goodhope Heaven kulia akimkabidhi Sh Milioni 20 mshindi wa Tanga, Yassin Lohai baada ya kushinda donge nono la Biko Jumapili iliyopita. Kushoto ni Afisa wa NMB, Tawi la Madaraka, jijini Tanga, akishuhudia makabidhiano hayo kwa mshindi wa Biko mkoani Tanga.
Balozi wa Biko Kajala Masanja, kulia akisalimiana na mwakilishi wa Bodi ya Michezo ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Bakari Maggid, katika droo ya kumtafuta mshindi wa Milioni 20 wa droo ya 22, ambapo Elizabeth Damian alitangazwa mshindi leo asubuhi.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...