Naibu Waziri Maliasili na Utalii Injinia Ramo Makani akimkabidhi Mhariri
Mtendaji wa Kampuni ya New Habari (2006)Ltd, Absalom Kibanda cheti cha
ushiriki wa Mkutano wa Mwaka na Wahariri na Wanahabari Waandamizi nchini
uliohitimishwa jioni ya leo jijini Tanga.Katika hatua hiyo ya
kukabidhiwa vyeti,washiriki wote walikabidhiwa vyeti vya ushiriki wao
kwa ukamilifu katika mkutano huo.
Mgeni rasmi,Naibu Waziri Maliasili na Utalii Injinia Ramo Makani(wanne
kulia) akiwa katika picha ya pmoja na washiriki wa Mkutano wa Sita wa
Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa Wahariri na Wanahabri waandamizi ulioanza kufanyika jana kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini
Tanga ,ambapo kauli mbiu ya mkutano huo ni 'Utalii na Tanzania ya
Viwanda'.
Naibu Waziri Maliasili na Utalii Injinia Ramo Makani leo akizungumza jambo wakati akifunga rasmi Mkutano wa Mwaka na Wahariri na Wanahabari Waandamizi nchini jijini Tanga.
Mkurugenzi wa Utalii na Masoko wa TANAPA,Bwa.Ibrahim Mussa akiwashukuru washiriki wa Mkutano wa Sita wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa Wahariri na Waandishi waandamizi ulioanza kufanyika jana kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Tanga ,na kuhitimishwa rasmi jioni ya leo na Naibu Waziri Maliasili na Utalii Mhe. Ramo Makani .
Meneja Mahusiano wa TANAPA,Pascal Shelutete akizungumza jambo kabla ya mgeni rasmi kufunga Mkutano wa Sita wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa Wahariri na Waandishi waandamizi ulioanza kufanyika jana kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Tanga.

Sehemu
ya Meza kuu,kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri
(TEF),Theophil Makunga,Mkurugenzi wa Idara ya Habari
(MAELEZO),Dkt.Hassan Abbas,Mkurugenzi wa Utalii na Masoko wa
TANAPA,Bwa.Ibrahim Mussa ,Mgeni rasmi-Naibu Waziri Maliasili na Utalii
Mhe. Ramo Makani,Mkuu wa Wilaya ya Tanga,Mhe.Thobis Mwilapwa.
Baadhii ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri ukumbini humo kabla ya kufungwa rasmi jioni ya leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...