Kaimu Mkuu wa Kitengo Cha Mawasiliano na Hifadhi hati kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa 'NIDA' ,Rose Mdami akimsikiliza mmoja wa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam aliyefika kupata huduma ya Kitambulisho cha Taifa katika banda lao lililopo katika Viwanja vya Maonyesho Sabasaba
Afisa Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Agnes Gerald akiwa amezungukwa na wateja mbalimbali waliofika kupata vitambulisho vya Taifa. katika viwanja vya Maonesho Sabasaba
baadhi ya wakazi wa jiji wakisubiri kupigwa picha hili waweze kupatiwa Vitambulisho vyao
Afisa Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA),Said Said akiwa amezungukwa na wateja mbalimbali waliofika kupata vitambulisho vya Taifa. katika viwanja vya Maonesho Sabasaba
Afisa kutoka Uhamiaji ,Elias Chipolo akikagua nyaraka na viambatanisho vinavytakiwa katika fomu ya kuomba vitambulisho vya Taifa.
Sehemu ya watu waliofurika katika Maonyesho ya Sabasaba kufuata vitambulisho vya Taifa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...