Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) Bw. Gulamhafeez Abubakar Muccadam akizungumza na Waandishi wa habari juu ya Mkutano mkuu wa ALAT Taifa unaotarajiwa kufanyika Jijini Mbeya Mwezi ujao ambao Rais Dkt John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa ALAT Bw. Stephene Mhapa akifuatiwa na Diwani wa kata ya Maboga Iringa Veny Muyinga
Kaimu Katibu Mkuu wa ALAT Abdallah Shaban akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa idara ya Habari Maelezo juu ya mkutano Mkuu wa Taifa wa Alat
Makamu Mwenyekiti wa ALAT Bw. Stephene Mhapa akisisitiza jambo kwa Wandishi wa habari juu mkutano mkuu wa taifa utakao fanyika Jijini Mbeya Mwezi ujao Mwaka huu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...