Msanii Vanessa Mdee akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki. |
Msanii Diamond Platinumz akiwa katika jukwaa la castle lite unlocks akiwakonga wapenzi wa burudani usiku wa kuamkia leo |
Msanii Casper Nyovest akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki. |
Msanii toka Marekani FUTURE akiwa jukwaani kwenye tamasha kubwa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo. Kwa habari zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...