Mkuu wa Jeshi la Kujenga taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo akizungumza wakati wa kumpongeza Mshindi
wa tatu wa Mbio za Dunia za London Marathon mwaka huu, Felix Simbu
pamoja na wenzake watatu ambao walienda katika mashindano ya Dunia za London Marathon nchini Uingereza.
Mwanariadha, Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Mbio nchini Uingereza kwa mwaka huu 2017
akizungumza wakati wa Jeshi la kujenga taifa limewapongeza washindi
hao walipowasili hapa nchini tangu walipotoka kwenye mashindano ya
Riadha ya Dunia yaliyofanyika nchini Uingereza. Amesema kuwa "Ushindi
huu si wangu peke yangu bali ni wa wetu sote kutokana tulikuwa na
umoja."Huu ni ushindi wa wote, hivyo umoja wetu utazidi kujitahidi
kufanya vizuri zaidi hapo baadae,".
Katibu Baraza la Michezo Tanzania(BMT), Mohamed Kiganja akizungumza
wakati wa kuwapongeza washiriki wa mashindano ya Riadha ya Dunia ambapo
Tanzania ilikuwa na wanariadha wanne na Mshindi wa tatu wa Mbio hizo za Dunia za London Marathon kutoka Tanzania ni Alfonce Simbu.
Mwakilishi
wa Multchoice, akizungumza katika hafla fupi iliyoandali na Jeshi la
Kujenga Taifa akiwapongeza washiriki wa Mashindano hapo ikiwa mshindi
watatu wa mashindano ya riadha ya dunia aliibuka kidedea
Alfonce Simbu.
Alfonce Simbu.
Mwanariadha,
Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Mbio
nchini Uingereza kwa mwaka huu 2017 akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu
wa Jeshi la Kujenga taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo jijini Dar
es Salaam leo wakati wa kuwapongeza kushiriki mashindano ya Rianda ya
Dunia.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...