Wakati
serikali ikishirikiana na wahisani mbalimbali wa afya katika kuondoa
changamoto ya ugonjwa wa malaria unaoenezwa na Mmbu jike aitwaye
anofeles, baadhi ya wakazi wa Manispaa ya kigoma ujiji wamekuwa
wakitumia vyandarua kuhifadhi vifaranga vya kuku ili wasiliwe na mwewe,picha kama ambavyo imenaswa na mpiga picha wetu Magreth Magosso kigoma Chandarua kikitumika kuwalinda Vifaranga hao wasiliwe na Mwewe,kimsingi Elimu bado inahitajika kwa jamii katika suala zima la matumizi bora na sahihi ya Vyandarua katika suala zima la kupambana na ugonjwa wa Malaria.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Unajuaje labda wanapokezana mchana kuku na jioni anaitumia mwenyewe???Ikithibitika kua hatumii chandarua na badala yake anaitumia kwa matumizi mengine yasiyokusudiwa ni kosa!
ReplyDelete