Askari wa kikosi cha Usalama Barabarani CPL Juma Selemani, akitoa
elimu katika Shule ya Msingi Custom iliyopo wilayani Rombo mkoani
Kilimanjaro katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama
Barabarani.
Askari wa kikosi cha Usalama Barabarani PC Ndugunamiti, akiwa na
Juma Abdallah mwanafunzi wa Shule ya msingi Majengo wilayani Same
Mkoani Kilimanjaro alipokuwa akichangia mada iliyokuwa ikitolea
shuleni hapo katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama
Barabarani.
Mkaguzi wa kikosi cha Usalama Barabarani wilayani Moshi Mshangama
Nyangasa, akitoa elimu katika shule ya msingi Majengo iliyopo mkoani
Kilimanjaro katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama
Barabarani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...