Afisa Mtendaji Mkuu wa East Point hotel ya mjini Moshi mkoani Kilimanjaro akitoa maelezo kwa watembeleaji wa banda la Zara Tours kwenye maonesho ya kimataifa ya Utalii (International Tourism and Travel Show) jijini Montreal, Canada, leo ambako makampuni ya utalii na usafirishaji watalii kutoka nchi zaidi ya 100 yanashiriki kwenye maonesho hayo ya siku tatu
Afisa Mtendaji Mkuu wa East Point hotel ya mjini Moshi mkoani Kilimanjaro akiwa tayari kuhudumia watembeleaji wa banda la Zara Tours kwenye maonesho ya kimataifa ya Utalii (International Tourism and Travel Show ) jijini Montreal, Canada, leo ambako makampuni ya utalii na usafirishaji watalii kutoka nchi zaidi ya 100 yanashiriki kwenye maonesho hayo ya siku tatu
Afisa Mtendaji Mkuu wa East Point hotel ya mjini Moshi mkoani Kilimanjaro akiwa tayari kuhudumia watembeleaji wa banda la Zara Tours kwenye maonesho ya kimataifa ya Utalii (International Tourism and Travel Show ) jijini Montreal, Canada, leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...