Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye
Ulemavu) Jenista Mhagama akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa Maafa
Ofisi ya Waziri Mkuu, Jane Alfred, namna mtambo unavyosaidia kupatikana
kwa taarifa za dharura kwa ajili ya kufuatilia maafa nchini, leo tarehe
17 Oktoba, 2017, Dar es Salaam.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye
Ulemavu) Jenista Mhagama akipata maelezo kutoka kwa Mchabuzi wa Mifumo
ya Kompyuta Ofisi ya Waziri Mkuu, Alex Ndimbo, namna taarifa
zinavyochakatwa na kupatikana kwa taarifa za dharura kwa ajili ya
kufuatilia maafa nchini, leo tarehe 17 Oktoba, 2017, Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig. Jen. Mbazi
Msuya akieleza umuhimu wa mpango wa uendeshwaji wa kituo Cha Operasheni
na Mawasiliano ya Dharura kwa ajili ya kufuatilia maafa nchini kwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye
Ulemavu) Jenista Mhagama, leo tarehe 17 Oktoba, 2017, Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Dkt. Agnes Kijazi akimueleza Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye
Ulemavu) Jenista Mhagama,jinsi Mradi wa Uboreshaji wa Mifumo ya
Tahadhari za Awali na Mabadiliko ya Tabianchi ulivyoboresha utabiri wa
hali ya hewa nchini, alipotembelea mamlaka hiyo, leo tarehe 17 Oktoba,
2017, Dar es Salaam.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...