Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Susan Kolimba akisisitiza
jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akielezea maadhimisho ya 72 ya Umoja wa
Mataifa ambayo yanatarajiwa kufanyika tarehe 24 Oktoba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam, kulia ni Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Bw. Alvaro
Rodriguez.
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Bw. Alvaro Rodriguez
akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akielezea maadhimisho ya 72 ya
Umoja wa Mataifa ambayo yanatarajiwa kufanyika tarehe 24 Oktoba katika viwanja vya Karimjee jijini
Dar es Salaam, katikati ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Susan
Kolimba na kushoto ni Mkurugenzi wa Masuala ya Kimataifa toka Wizara ya Mambo ya Nje Balozi
Selestine Mushi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Susan Kolimba (katikati)
akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akielezea maadhimisho ya 72 ya
Umoja wa Mataifa ambayo yanatarajiwa kufanyika tarehe 24 Oktoba katika viwanja vya Karimjee jijini
Dar es Salaam, kulia ni Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Bw. Alvaro
Rodriguez na kushoto ni Mkurugenzi wa Masuala ya Kimataifa toka Wizara ya Mambo ya Nje Balozi
Selestine Mushi.
Picha na Eliphace Marwa - Maelezo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...